Breaking

Friday, January 31, 2025

. KUTOFIKA RAIS CAPT. IBRAHIM TRAORE TANZANIA Kimsingi hata kama ningekuwa ni mimi, wala hata nisingeweza kuhudhilia na hili swala nililiona tangu mwanzo. na yeye akaona atumie ile Terminology ya Better Attend than never (bora kufika kuliko kutokufika kabisa) akatoa uwakilishi kwa maelekezo lakini.Kwa leo nipo nchini Congo nina mambo yangu ya msingi huku kuhusu M23 Rwanda na Jeshi la Congo. Lakini nitazungumzia swala hili kwa ufupi kidogo ili mwelewe maana halisi ya Rais wa Bukinafaso Capt. Ibrahm Traore kutofika nchini Tanzania na kutoa tu uwakilishi ambao umepewa angalizo katika maswala ya Kidiplomasia ambayo nayo hayajakaa vizuri sana. Lakini kwa nini hayo yametokea?:1. Kwanza ameonesha wazi kuwa Tanzania sio sehemu salama kwake yeye mtu mwenye misimamo na Mzalendo wa Amani na utulivu Afrika kutokana na kwamba Rais wa Ufaransa anaukaribu mkubwa na Rais wa Tanzania wakiwemo viongozi wastaafu ambapo Mfaransa ni Adui yake jwasababu ya kuwaondoa katika nchi yake wote ili kubakia na utulivu.2. Ameonesha wazi kuwa Tanzania ina amani kwa viongozi na kwa wale wanaojipendekeza katika serikali hiyo tu na sio kwamba wananchi wanaamani na wengi hufikia huishi kinafiki na kupoteza hari ya Uzalendo na misimamo kwa Taifa lao.3. Ameona wazi kuwa kwasababu kuwa Tanzania iliwahi kuwa na mtu kama yeye mwenye misimamo na mtetezi wa Taifa lake lakini wakamuua na kudhohofisha ndoto za watu wengi kwa maslahi ya wachache.4. Rais wa nchi ya Tanzania ni kipenzi cha wanaufaransa hususani viongozi ambao waliompinga Rais Magufuli wazi wazi kutokujenga Bwawa la kufua umeme pamoja na ujenzi wa bomba la Mafuta na yeye Dkt. John Magufuli hakuteteleka wala kuwasikiliza woteNa mwisho waliungana na kumfanyia MAPINDUZI Magufuli kupitia silaha ya kivuri cha ugonjwa ambao eti aliupata yeye tu dunia nzima na kufaulu kuingia madarakani Samia, huku akiungwa mkono na watu wengine nguvu ya kiuchumi, kama ilivyokuwa kwa Thomas Sankara.5. Pia aliona urafiki wa Samia, Kikwete, Baloz Tax, na Rais wa Ufaransa baada ya Magufuli kufa uliimarika, akaona wazi kuwa Nchi hiyo ya TZ sio salama kwake kwani Mfaransa huwapinga maadui zake kama hana uwezo wa kuwamaliza na mara nyingi hutumia marafiki zake kuwamaliza maadui.Na kwa Tanzania hilo kwa Traore ameona hatokuwa salama kwa kuwa Rais halali wa nchi Dkt. John Pombe Magufuli, aliyependwa na Mataifa mengi Dunia alikufa kifo cha utata na ambacho hakijawahi kufanyiwa uchunguzi, na ambacho kilifurahiwa na viongozi waliobaki kwa cheo cha Ustaafu na Uraisi. 6. Chuki juu ya Mapinduzi ya Urais wao John Magufuli, ndio kero kubwa ambayo hawezi kuiweka wazi kwa kuwa mambo hayo yanahusiana na Nchi yenyewe na pia Ibrahimu Traore anakuwa na kumbukumbu ya Mpendwa wake Thomas Sankara ambaye kimsingi alimuhusudu sana katika utendaji kazi wake wa kulijenga Taifa la Bukinafaso.Kimsingi Tanzania Wanatamani Kiongozi kama Thomas Sankara, Ibrahim Traore, Jonh Pombe Magufuli, Mohamed Gadaff, Julius Nyerere, Nelson Mandela na wengine ambao wanahitikadi za misimamo ambayo inajenga uzalendo na kujituma kwa Taifa husika. HONGERA CAPT. IBRAHIM TRAORE umefanya maamuzi mazuri lakini yanatunyong'onyeza kwa kuwa watu wa Taifa la Tanzania walitaka kumpokea kwa kishindo cha Wakoma ambacho kingeonesha wazi upendo wa Tanzania juu ya Magufuli na ungeshangiliwa hatari kuliko hata mwenyeji.

No comments:

Post a Comment